Ezekiel 16:62 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitafanya agano nawe, nawe utatambua kwamba mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo nitalifanya imara agano langu na wewe, nawe utajua kuwa Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaweka imara agano langu nawe; nawe utajua ya kuwa mimi ndimi Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitafanya agano nawe, nawe utatambua kwamba mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo nitalifanya imara Agano langu na wewe, nawe utajua kuwa Mimi ndimi BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo nitalifanya imara Agano langu na wewe, nawe utajua kuwa Mimi ndimi bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaweka imara agano langu nawe; nawe utajua ya kuwa mimi ndimi BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitafanya agano nawe, nawe utatambua kwamba mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mimi nitakapolisimika lile agano, nitakalolifanya na wewe, upate kujua, ya kuwa mimi ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaweka imara agano langu nawe; nawe utajua ya kuwa mimi ndimi BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nitafanya agano nawe, nawe utatambua kwamba mimi ni Yawe.