Ezekiel 16:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Ishi, na ukue kama mmea shambani.’ Nawe ukakua na kurefuka hata ukawa msichana. Matiti yako yakakua na nywele zako nazo zikakua. Lakini ulikuwa uchi kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilikufanya uote kama mmea wa shambani. Ukakua na kuongezeka sana, ukawa kito cha thamani kuliko vyote. Matiti yako yakatokeza na nywele zako zikaota, wewe uliyekuwa uchi na bila kitu chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalikufanya kuwa maelfu-elfu, kama mimea ya mashamba, ukaongezeka, na kuzidi kuwa mkubwa, ukapata kuwa na uzuri mno; matiti yako yakaumbwa, nywele zako zikawa zimeota; lakini ulikuwa uchi, huna nguo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Ishi, na ukue kama mmea shambani.’ Nawe ukakua na kurefuka hata ukawa msichana. Matiti yako yakakua na nywele zako nazo zikakua. Lakini ulikuwa uchi kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilikufanya uote kama mmea wa shambani. Ukakua na kuongezeka sana, ukawa kito cha thamani kuliko vyote. Matiti yako yakatokeza na nywele zako zikaota, wewe uliyekuwa uchi na bila kitu cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilikufanya uote kama mmea wa shambani. Ukakua na kuongezeka sana, ukawa kito cha thamani kuliko vyote. Matiti yako yakatokeza na nywele zako zikaota, wewe uliyekuwa uchi na bila kitu chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilikufanya kuwa maelfu, kama mimea ya mashamba, ukaongezeka, na kuzidi kuwa mkubwa, ukapata kuwa na uzuri mno; matiti yako yakaumbwa, nywele zako zikawa zimeota; lakini ulikuwa uchi, bila mavazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Ishi, na ukue kama mmea shambani.’ Nawe ukakua na kurefuka hata ukawa msichana. Matiti yako yakakua na nywele zako nazo zikakua. Lakini ulikuwa uchi kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakupa kuwa maelfu na maelfu, kama majani ya shambani yalivyo mengi. Ndipo, ulipokua na kuendelea hivyo, mpaka ukawa mkubwa, ukapata kuwa mzuri zaidi, maziwa yako yakapata nguvu nazo nywele zako zikaota sana, lakini wewe ulikuwa ungaliko uchi bado pasipo kufunikwa na nguo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalikufanya kuwa maelfu-elfu, kama mimea ya mashamba, ukaongezeka, na kuzidi kuwa mkubwa, ukapata kuwa na uzuri mno; matiti yako yakaumbwa, nywele zako zikawa zimeota; lakini ulikuwa uchi, huna nguo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uishi, na ukomae kama mumea katika shamba. Nawe ukakomaa na kurefuka hata ukakuwa binti. Maziba yako yakakomaa na nywele zako nazo zikarefuka. Lakini ulikuwa uchi kabisa.