Ezekiel 16:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha nikachukua maji, nikakuosha damu uliyokuwa nayo, nikakupaka mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Nilikuogesha kwa maji, nikakuosha ile damu na kukupaka mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha nikakuosha kwa maji; naam, nalikuosha kabisa damu yako, nikakupaka mafuta;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha nikachukua maji, nikakuosha damu uliyokuwa nayo, nikakupaka mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Nilikuogesha kwa maji, nikakuosha ile damu na kukupaka mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Nilikuogesha kwa maji, nikakuosha ile damu na kukupaka mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha nikakuosha kwa maji; naam, nilikuosha kabisa damu yako, na kukupaka mafuta;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha nikachukua maji, nikakuosha damu uliyokuwa nayo, nikakupaka mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikakuogesha maji na kukumwagia mengi, damu yako ikutoke kabisa, nikakupaka mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha nikakuosha kwa maji; naam, nalikuosha kabisa damu yako, nikakupaka mafuta;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikatwaa maji, nikakukogesha kwa kusafisha damu uliyokuwa nayo, nikakupakaa mafuta.