Ezekiel 17:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umepandikizwa, lakini, je, utastawi? Upepo wa mashariki uvumapo juu yake utanyauka; utanyauka papo hapo kwenye kuta ulikoota.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata kama utapandwa pengine, je, utastawi? Je, hautanyauka kabisa wakati upepo wa mashariki utakapoupiga, yaani hautanyauka kabisa katika udongo mzuri ambamo ulikuwa umestawi vizuri?’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, tazama, ingawa umepandwa, je! Utafanikiwa? Hautakauka kabisa, upepo wa mashariki utakapoupiga? Naam, utakauka katika matuta hapo ulipopandwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umepandikizwa, lakini, je, utastawi? Upepo wa mashariki uvumapo juu yake utanyauka; utanyauka papo hapo kwenye kuta ulikoota.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata kama utapandwa pengine, Je, utastawi? Je, hautanyauka kabisa wakati upepo wa mashariki utakapoupiga, yaani, hautanyauka kabisa katika udongo mzuri ambamo ulikuwa umestawi vizuri?’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kama utapandwa pengine, Je, utastawi? Je, hautanyauka kabisa wakati upepo wa mashariki utakapoupiga, yaani, hautanyauka kabisa katika udongo mzuri ambamo ulikuwa umestawi vizuri?’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, tazama, ingawa umepandwa, je! Utafanikiwa? Hautakauka kabisa, upepo wa mashariki utakapoupiga? Naam, utakauka katika matuta hapo ulipopandwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umepandikizwa, lakini, je, utastawi? Upepo wa mashariki uvumapo juu yake utanyauka; utanyauka papo hapo kwenye kuta ulikoota.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli ulikuwa umepandwa, lakini utafanikiwa? Hautakauka kabisa, upepo utokao upande wa maawioni kwa jua utakapouvumia? Utakauka kweli hapo hapo matutani, ulikochipukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, tazama, ingawa umepandwa, je! Utafanikiwa? Hautakauka kabisa, upepo wa mashariki utakapoupiga? Naam, utakauka katika matuta hapo ulipopandwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umepandikizwa, lakini, utastawi? Upepo mukali wa mashariki unapovuma juu yake utanyauka; utakaukia palepale kwenye udongo ulikoota.