Ezekiel 17:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akamtawaza mmoja wa jamaa ya kifalme, akafanya naye mapatano, akamwapisha. Aliwaondoa humo nchini watu mashujaa akawapeleka mbali
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akamchukua mmoja wa jamaa ya mfalme na kufanya mapatano naye, akamfanya aape. Akawachukua pia viongozi wa nchi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawatwaa baadhi ya wazao wa kifalme; kisha akafanya agano naye, akamwapisha; akawaondoa watu wa nchi wenye nguvu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akamtawaza mmoja wa jamaa ya kifalme, akafanya naye mapatano, akamwapisha. Aliwaondoa humo nchini watu mashujaa akawapeleka mbali
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akamchukua mmoja wa jamaa ya kifalme na kufanya mapatano naye, akamfanya aape. Akawachukua pia viongozi wa nchi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akamchukua mmoja wa jamaa ya mfalme na kufanya mapatano naye, akamfanya aape. Akawachukua pia viongozi wa nchi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawatwaa baadhi ya wazao wa kifalme; kisha akafanya agano naye, akamwapisha; akawaondoa watu wa nchi wenye nguvu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akamtawaza mmoja wa jamaa ya kifalme, akafanya naye mapatano, akamwapisha. Aliwaondoa humo nchini watu mashujaa akawapeleka mbali
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha alichukua mmoja wa kizazi cha kifalme, akafanya naye agano na kumwapisha. Lakini wenye nguvu wa nchi hii akawachukua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawatwaa baadhi ya wazao wa kifalme; kisha akafanya agano naye, akamwapisha; akawaondoa watu wa nchi wenye nguvu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akachagua mutu mumoja wa jamaa ya kifalme, akafanya naye mapatano, akamwapisha kiapo cha uaminifu. Aliwaondoa wakubwa wengine katika inchi akawapeleka mbali