Ezekiel 17:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema, kama niishivyo, kwa vile amekidharau kiapo alichoapa kwa jina langu na agano langu akalivunja, hakika nitamwadhibu vikali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Hakika kama niishivyo, nitamwadhibu kwa kudharau kiapo changu, na kulivunja agano langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana MUNGU asema hivi; Kama mimi niishivyo, hakika kiapo changu alichokidharau, na agano langu alilolivunja, nitampatiliza kichwani pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema, kama niishivyo, kwa vile amekidharau kiapo alichoapa kwa jina langu na agano langu akalivunja, hakika nitamwadhibu vikali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa hiyo hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Hakika kama niishivyo, nitaleta juu ya kichwa chake kiapo changu, alichokidharau na Agano langu lile alilolivunja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kwa hiyo hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Hakika kama niishivyo, nitaleta juu ya kichwa chake kiapo changu, alichokidharau na Agano langu lile alilolivunja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Bwana MUNGU asema hivi; Kama mimi niishivyo, hakika kiapo changu alichokidharau, na agano langu alilolivunja, nitampatiliza kichwani pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa hiyo, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema, kama niishivyo, kwa vile amekidharau kiapo alichoapa kwa jina langu na agano langu akalivunja, hakika nitamwadhibu vikali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Hivyo, nilivyo Mwenye uzima, kiapo changu alichokibeua, na agano langu, alilolivunja, nitamtwika kichwani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Bwana MUNGU asema hivi; Kama mimi niishivyo, hakika kiapo changu alichokidharau, na agano langu alilolivunja, nitampatiliza kichwani pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Bwana wetu Yawe anasema hivi: Kama vile ninavyoishi, nitamwazibu vikali kwa sababu amekizarau kiapo alichoapa kwa jina langu na kuvunja agano langu.