Ezekiel 17:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, nitalipanda juu ya mlima mrefu wa Israeli ili lichanue na kuzaa matunda. Litakuwa mwerezi mzuri, na ndege wa aina zote watakaa chini yake pia watajenga viota vyao katika matawi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika vilele vya mlima mrefu wa Israeli nitakipanda, kitatoa matawi na kuzaa matunda na kuwa mwerezi mzuri sana. Ndege wa kila aina watajenga viota vyao ndani yake, nao watapata makazi katika kivuli cha matawi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
juu ya mlima wa mahali palipoinuka pa Israeli nitakipanda; nacho kitatoa matawi, na kuzaa matunda, nao utakuwa mwerezi mzuri; na chini yake watakaa ndege wa kila namna ya mbawa; katika uvuli wa matawi yake watakaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, nitalipanda juu ya mlima mrefu wa Israeli ili lichanue na kuzaa matunda. Litakuwa mwerezi mzuri, na ndege wa aina zote watakaa chini yake pia watajenga viota vyao katika matawi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika vilele vya mlima mrefu wa Israeli nitakipanda, kitatoa matawi na kuzaa matunda na kuwa mwerezi mzuri sana. Ndege wa kila aina wataweka viota vyao ndani yake, nao watapata makazi katika kivuli cha matawi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika vilele vya mlima mrefu wa Israeli nitakipanda, kitatoa matawi na kuzaa matunda na kuwa mwerezi mzuri sana. Ndege wa kila aina wataweka viota vyao ndani yake, nao watapata makazi katika kivuli cha matawi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
juu ya mlima wa mahali palipoinuka pa Israeli nitakipanda; nacho kitatoa matawi, na kuzaa matunda, nao utakuwa mwerezi mzuri; na chini yake watakaa ndege wa kila namna ya mbawa; katika uvuli wa matawi yake watakaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, nitalipanda juu ya mlima mrefu wa Israeli ili lichanue na kuzaa matunda. Litakuwa mwerezi mzuri, na ndege wa aina zote watakaa chini yake pia watajenga viota vyao katika matawi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika huo mlima mrefu wa Isiraeli nitalipanda, lichupuke matawi yatakayozaa mbegu, nalo litakuwa mwangati wenye utukufu; chini yake watakaa ndege wa kila namna wenye manyoya mbalimbali, chini kivulini mwa matawi yake watajenga matundu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
juu ya mlima wa mahali palipoinuka pa Israeli nitakipanda; nacho kitatoa matawi, na kuzaa matunda, nao utakuwa mwerezi mzuri; na chini yake watakaa ndege wa kila namna ya mbawa; katika uvuli wa matawi yake watakaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, nitalipanda juu ya mulima murefu wa inchi ya Waisraeli kusudi lichanue na kuzaa matunda. Litakuwa mwerezi muzuri, na ndege wa aina zote watakaa chini yake vilevile watajenga chicha zao katika matawi yake.