Ezekiel 17:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akachukua mmea mchanga nchini Israeli, akaupanda katika ardhi yenye rutuba ambako kulikuwa na maji mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Akachukua baadhi ya mbegu za nchi yako na kuziweka katika udongo wenye rutuba. Akazipanda kama mti umeao kando ya maji mengi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatwaa tena mbegu katika mbegu za nchi hiyo, akaipanda katika udongo uzaao sana, akaiweka kando ya maji mengi; aliipandikiza kama mti ukuao karibu na mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akachukua mmea mchanga nchini Israeli, akaupanda katika ardhi yenye rutuba ambako kulikuwa na maji mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Akachukua baadhi ya mbegu za nchi yako na kuziweka katika udongo wenye rutuba. Akazipanda kama mti umeao kando ya maji mengi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Akachukua baadhi ya mbegu za nchi yako na kuziweka katika udongo wenye rutuba. Akazipanda kama mti umeao kando ya maji mengi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatwaa tena mbegu katika mbegu za nchi hiyo, akaipanda katika udongo uzaao sana, akaiweka kando ya maji mengi; aliipandikiza kama mti ukuao karibu na mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akachukua mmea mchanga nchini Israeli, akaupanda katika ardhi yenye rutuba ambako kulikuwa na maji mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akachukua nayo mbegu ya hiyo nchi, akaipanda shambani panapopandwa mbegu, kwenye maji mengi, iwe kijiti, akaitunza kama mbula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatwaa tena mbegu katika mbegu za nchi hiyo, akaipanda katika udongo uzaao sana, akaiweka kando ya maji mengi; aliipandikiza kama mti ukuao karibu na mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatwaa kichipukizi cha mumea katika inchi ya Waisraeli, akaupanda katika udongo wenye mboleo ambako kulikuwa maji mengi.