Ezekiel 17:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmea ukakua ukawa mzabibu wa aina ya mti utambaao; matawi yake yakamwelekea, na mizizi yake ikatanda chini yake. Mzabibu ukachipua matawi na majani mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nazo zikaota na kuwa mzabibu mfupi, unaoeneza matawi yake. Matawi yake yakamwelekea huyo tai, mizizi yake ikabaki chini ya huo mzabibu. Kwa hiyo ukawa mzabibu na kutoa matawi na vitawi vyenye majani mengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikakua, ikawa mzabibu wenye kuenea sana, wa kimo kifupi, ambao matawi yake yalimgeukia, na mizizi yake ilikuwa chini yake; basi ukawa mzabibu, ukatoa matawi, ukachipuza vichipuko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmea ukakua ukawa mzabibu wa aina ya mti utambaao; matawi yake yakamwelekea, na mizizi yake ikatanda chini yake. Mzabibu ukachipua matawi na majani mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nazo zikaota na kuwa mzabibu mfupi, unaoeneza matawi yake. Matawi yake yakamwelekea huyo tai, mizizi yake ikabaki chini ya huo mzabibu. Kwa hiyo ukawa mzabibu na kutoa matawi na vitawi vyenye majani mengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nazo zikaota na kuwa mzabibu mfupi, unaoeneza matawi yake. Matawi yake yakamwelekea huyo tai, mizizi yake ikabaki chini ya huo mzabibu. Kwa hiyo ukawa mzabibu na kutoa matawi na vitawi vyenye majani mengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikakua, ikawa mzabibu wenye kuenea sana, wa kimo kifupi, ambao matawi yake yalimgeukia, na mizizi yake ilikuwa chini yake; basi ukawa mzabibu, ukatoa matawi, ukachipuza vichipuko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmea ukakua ukawa mzabibu wa aina ya mti utambaao; matawi yake yakamwelekea, na mizizi yake ikatanda chini yake. Mzabibu ukachipua matawi na majani mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikaota, ikawa mzabibu uliotambaa wenye kisiki kifupi, kwani matawi yake yalimgeukia mwenyewe, nayo mizizi yake ilikuwa chini yake yeye; ukawa mzabibu wa kweli, ukapata matawi yaliyochipuza majani mazuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikakua, ikawa mzabibu wenye kuenea sana, wa kimo kifupi, ambao matawi yake yalimgeukia, na mizizi yake ilikuwa chini yake; basi ukawa mzabibu, ukatoa matawi, ukachipuza vichipuko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumea ukakomaa na kuwa muzabibu wa aina ya muti unaotambaa; matawi yake yakaelekea yule tai, na mizizi yake ikaingia chini ndani ya udongo. Muzabibu ukatoa matawi na majani mengi.