Ezekiel 17:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mzabibu ulikuwa umetolewa kitaluni mwake ukapandikizwa penye udongo mzuri na maji mengi, ili upate kutoa matawi na kuzaa matunda uweze kuwa mzabibu mzuri sana!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulikuwa umepandwa katika udongo mzuri wenye maji mengi ili uweze kutoa matawi, kuzaa matunda, na uweze kuwa mzabibu mzuri sana.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulikuwa umepandwa katika udongo mwema, kando ya maji mengi, upate kutoa matawi, na kuzaa matunda, uwe mzabibu mzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mzabibu ulikuwa umetolewa kitaluni mwake ukapandikizwa penye udongo mzuri na maji mengi, ili upate kutoa matawi na kuzaa matunda uweze kuwa mzabibu mzuri sana!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulikuwa umepandwa katika udongo mzuri wenye maji mengi ili uweze kutoa matawi, kuzaa matunda na uweze kuwa mzabibu mzuri sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulikuwa umepandwa katika udongo mzuri wenye maji mengi ili uweze kutoa matawi, kuzaa matunda na uweze kuwa mzabibu mzuri sana.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulikuwa umepandwa katika udongo mwema, kando ya maji mengi, upate kutoa matawi, na kuzaa matunda, uwe mzabibu mzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mzabibu ulikuwa umetolewa kitaluni mwake ukapandikizwa penye udongo mzuri na maji mengi, ili upate kutoa matawi na kuzaa matunda uweze kuwa mzabibu mzuri sana!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ulikuwa umepandwa katika shamba zuri lenye maji mengi, uchipuke matawi yatakayoleta matunda, uwe mzabibu wenye utukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulikuwa umepandwa katika udongo mwema, kando ya maji mengi, upate kutoa matawi, na kuzaa matunda, uwe mzabibu mzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muzabibu ulikuwa umepandikizwa penye udongo muzuri na karibu na maji mengi, kusudi upate kutoa matawi na kuzaa matunda uweze kuwa muzabibu muzuri sana!