Ezekiel 17:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuuliza: Je, mzabibu huo utaweza kustawi? Je, hawatangoa mizizi yake na kuozesha matunda yake na matawi yake machanga kuyanyausha? Hakutahitajika mtu mwenye nguvu au jeshi kuungoa kutoka humo ardhini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Je, utastawi? Je, hautang’olewa na kuondolewa matunda yake, ili uweze kunyauka? Majani yake mapya yanayochipua yote yatanyauka. Hautahitaji mkono wenye nguvu au watu wengi kuung’oa na mizizi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi nena wewe, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Huo utafanikiwa? Yeye hataing'oa mizizi yake na kuyakata matunda yake, ili ukauke? Kwamba majani mabichi yake yote yachipukayo yakauke, hata ikiwa hana nguvu nyingi, wala watu wengi wa kuung'oa na mizizi yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuuliza: Je, mzabibu huo utaweza kustawi? Je, hawatang'oa mizizi yake na kuozesha matunda yake na matawi yake machanga kuyanyausha? Hakutahitajika mtu mwenye nguvu au jeshi kuung'oa kutoka humo ardhini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Je, utastawi? Je, hautang'olewa na kuondolewa matunda yake, ili uweze kunyauka? Majani yake mapya yanayochipua yote yatanyauka. Hautahitaji mkono wenye nguvu au watu wengi kuung'oa na mizizi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Je, utastawi? Je, hautang’olewa na kuondolewa matunda yake, ili uweze kunyauka? Majani yake mapya yanayochipua yote yatanyauka. Hautahitaji mkono wenye nguvu au watu wengi kuung’oa na mizizi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi nena wewe, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Huo utafanikiwa? Yeye hataing'oa mizizi yake na kuyakata matunda yake, ili ukauke? Kwamba majani mabichi yake yote yachipukayo yakauke, hata ikiwa hana nguvu nyingi, wala watu wengi wa kuung'oa na mizizi yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nakuuliza: Je, mzabibu huo utaweza kustawi? Je, hawatangoa mizizi yake na kuozesha matunda yake na matawi yake machanga kuyanyausha? Hakutahitajika mtu mwenye nguvu au jeshi kuungoa kutoka humo ardhini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, sema: hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Je? Utafanikiwa? Yule hataing'oa mizizi yake na kuyakata matunda yake, ukauke? Kweli majani yote ya machipuko yake yatakauka; hautatakiwa mkono wenye nguvu wala watu wengi wa kuung'oa kwenye mizizi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi nena wewe, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Huo utafanikiwa? Yeye hataing’oa mizizi yake na kuyakata matunda yake, ili ukauke? Kwamba majani mabichi yake yote yachipukayo yakauke, hata ikiwa hana nguvu nyingi, wala watu wengi wa kuung’oa na mizizi yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa Bwana wenu Yawe anakuuliza: Muzabibu huo utaweza kustawi? Hawataongoa mizizi yake na kuozesha matunda yake na matawi yake machanga kuyanyausha? Hakutahitajika mutu mwenye nguvu au kundi kubwa kuuongoa kutoka ndani ya udongo.