Ezekiel 18:11 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtoto huyo ambaye anafanya mabaya asiyofanya baba yake: Anakula tambiko zilizokatazwa huko mlimani, anamnajisi mke wa jirani yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(ingawa baba yake hakufanya mojawapo ya haya): “Hula katika mahali pa ibada za sanamu kwenye milima. Humtia unajisi mke wa jirani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hakutenda mojawapo la mambo hayo yampasayo, bali amekula juu ya milima, na kumtia unajisi mke wa jirani yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtoto huyo ambaye anafanya mabaya asiyofanya baba yake: anakula tambiko zilizokatazwa huko mlimani, anamnajisi mke wa jirani yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(ingawa baba yake hakufanya mojawapo ya haya): “Hula katika mahali pa ibada za miungu kwenye milima. Humtia unajisi mke wa jirani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(ingawa baba yake hakufanya mojawapo ya haya): “Hula katika mahali pa ibada za miungu kwenye milima. Humtia unajisi mke wa jirani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hakutenda mojawapo la mambo hayo yampasayo, bali amekula juu ya milima, na kumtia unajisi mke wa jirani yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtoto huyo ambaye anafanya mabaya asiyofanya baba yake: Anakula tambiko zilizokatazwa huko mlimani, anamnajisi mke wa jirani yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
yeye baba yake asiyoyafanya yote, kama anakula vilimani juu, au kama anamchafua mke wa mwenziwe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hakutenda mojawapo la mambo hayo yampasayo, bali amekula juu ya milima, na kumtia unajisi mke wa jirani yake,