Ezekiel 18:12 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huwadhulumu maskini na wahitaji. Hunyang’anyana. Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. Huziinulia sanamu macho. Hufanya mambo ya machukizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuwadhulumu maskini na wahitaji, na kuwanyang'anya watu mali yao kwa nguvu, wala hakurudisha rehani, naye ameviinulia macho vinyago, na kufanya machukizo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huwaonea maskini na wahitaji. Hunyang'anyana. Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. Huziinulia sanamu macho. Hufanya mambo ya machukizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huwaonea maskini na wahitaji. Hunyang’anyana. Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. Huziinulia sanamu macho. Hufanya mambo ya machukizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuwadhulumu maskini na wahitaji, na kuwanyang'anya watu mali zao kwa nguvu, wala hakurudisha rehani, naye ameviinulia macho vinyago, na kufanya machukizo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
anawadhulumu maskini na fukara, anaiba, harudishi rehani, anaziabudu sanamu za miungu na kufanya machukizo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au kama anawatesa wanyonge na wakiwa, au kama ananyang'anya mali yake, au kama harudishi aliyopewa ya kumwekea mtu, au kama anayatazamia kwa macho yake magogo ya kutambikia, ayafanye yachukizayo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuwadhulumu maskini na wahitaji, na kuwanyang’anya watu mali yao kwa nguvu, wala hakurudisha rehani, naye ameviinulia macho vinyago, na kufanya machukizo,