Ezekiel 18:16 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hamdhulumu yeyote wala kutaka rehani kwa ajili ya mkopo. Hanyang’anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hakumdhulumu mtu, wala hakutwaa kitu kiwekwe rehani, wala hakumnyang'anya mtu mali yake kwa nguvu, bali amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwafunika nguo walio uchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyang'anyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakumwonea mtu ye yote wala hakutaka rehani kwa ajili ya mkopo. Hanyang'anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakumwonea mtu yeyote wala hakutaka rehani kwa ajili ya mkopo. Hanyang’anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hakumdhulumu mtu, wala hakutwaa kitu kiwekwe rehani, wala hakumnyang'anya mtu mali yake kwa nguvu, bali amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwafunika nguo walio uchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hampunji mtu yeyote, hashiki rehani, hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kumvalisha aliye uchi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala asimtese mtu, wala asimtoze mtu mali za kumwekea, wala asinyang'anye isiyo mali yake, ila wenye njaa awagawie vyakula vyake, wenye uchi awavike nguo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hakumdhulumu mtu, wala hakutwaa kitu kiwekwe rehani, wala hakumnyang’anya mtu mali yake kwa nguvu, bali amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwafunika nguo walio uchi;