Ezekiel 18:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna kosa lolote alilotenda litakalokumbukwa juu yake. Kwa ajili ya mambo ya haki aliyoyatenda, ataishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dhambi zake zote alizozitenda hazitakumbukwa juu yake hata mojawapo; katika haki yake aliyoitenda ataishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna kosa lo lote alilotenda litakalokumbukwa juu yake. Kwa ajili ya mambo ya haki aliyoyatenda, ataishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna kosa lolote alilotenda litakalokumbukwa juu yake. Kwa ajili ya mambo ya haki aliyoyatenda, ataishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dhambi zake zote alizozitenda hazitakumbukwa juu yake hata mojawapo; katika haki yake aliyoitenda ataishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mapotovu yake yote, aliyoyafanya, hayatakumbukwa, ila atapata uzima kwa wongofu wake, alioufanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dhambi zake zote alizozitenda hazitakumbukwa juu yake hata mojawapo; katika haki yake aliyoitenda ataishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya haki yake ataishi.