Ezekiel 18:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mimi ninafurahia kifo cha mtu mwovu? Asema Bwana Mungu Mwenyezi. Je, si mimi ninafurahi wanapogeuka kutoka njia zao mbaya na kuishi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mimi ninafurahia kufa kwake mtu mwovu? Asema Bwana MUNGU; si afadhali kwamba aghairi, na kuiacha njia yake, akaishi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mimi ninafurahia kifo cha mtu mwovu? Asema BWANA Mwenyezi. Je, si mimi ninafurahi wanapogeuka kutoka katika njia zao mbaya na kuishi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mimi ninafurahia kifo cha mtu mwovu? Asema bwana Mwenyezi. Je, si mimi ninafurahi wanapogeuka kutoka njia zao mbaya na kuishi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mimi ninafurahia kufa kwake mtu mwovu? Asema Bwana MUNGU; si afadhali kwamba aghairi, na kuiacha njia yake, akaishi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana Mungu: Mnaniwaziaje kwamba: Nitapendezwa, asiyenicha akifa? Je? Sitapendezwa, akirudi na kuziacha njia zake, apate uzima?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mimi ninafurahia kufa kwake mtu mwovu? Asema Bwana MUNGU; si afadhali kwamba aghairi, na kuiacha njia yake, akaishi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, ninafurahia kufa kwa mutu mwovu? Hapana! Mimi ninapendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.