Ezekiel 18:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema kwamba methali hii haitatumika tena katika Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hakika kama niishivyo, asema Bwana Mungu Mwenyezi, hamtatumia tena mithali hii katika Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, hamtakuwa na sababu ya kuitumia tena mithali hii katika Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema kwamba methali hii haitatumika tena katika Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hakika kama niishivyo, asema BWANA Mwenyezi, hamtatumia tena mithali hii katika Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hakika kama niishivyo, asema bwana Mwenyezi, hamtatumia tena mithali hii katika Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, hamtakuwa na sababu ya kuitumia tena mithali hii katika Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, kama niishivyo mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nasema kwamba methali hii haitatumika tena katika Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana Mungu: Hivyo, nilivyo Mwenye uzima, hatakuwako tena kwenu atakayelitumia fumbo hili kwao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, hamtakuwa na sababu ya kuitumia tena mithali hii katika Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile ninavyoishi, mezali hii haitatumiwa tena katika Israeli. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe.–