Ezekiel 18:7 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama hamdhulumu mtu yeyote, bali hurudisha rehani, kama hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kuwavalisha walio uchi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hamdhulumu yeyote, bali hurudisha kilichowekwa rehani kwake. Hanyang’anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala hakumdhulumu mtu, bali amemrudishia mdeni wake rehani yake, wala hakumnyang'anya mtu mali yake kwa nguvu, naye amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwavika nguo walio uchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama hamdhulumu mtu yeyote, bali hurudisha rehani, kama hanyang'anyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kuwavalisha walio uchi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hamwonei mtu ye yote, bali hurudisha kilichowekwa rehani kwake. Hanyang'anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hamwonei mtu yeyote, bali hurudisha kilichowekwa rehani kwake. Hanyang’anyi, bali huwapa wenye njaa chakula chake na huwapa nguo walio uchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala hakumdhulumu mtu, bali amemrudishia mdeni wake rehani yake, wala hakumnyang'anya mtu mali yake kwa nguvu, naye amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwavika nguo walio uchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama hamdhulumu mtu yeyote, bali hurudisha rehani, kama hanyanganyi watu mali zao, bali huwapa chakula wenye njaa na kuwavalisha walio uchi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala asimtese mtu, ila aliyemkopa amrudishie aliyompa yeye ya kumwekea, asinyang'anye isiyo mali yake, wenye njaa awagawie vyakula vyake, wenye uchi awavike nguo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala hakumdhulumu mtu, bali amemrudishia mdeni wake rehani yake, wala hakumnyang’anya mtu mali yake kwa nguvu, naye amewapa wenye njaa chakula chake, na kuwavika nguo walio uchi;