Ezekiel 19:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mama yako alikuwa kama mzabibu shambani, uliopandikizwa kando ya maji, ambao ulizaa sana kwa kuwa na maji tele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mama yako alikuwa kama mzabibu katika shamba lako la mizabibu uliopandwa kando ya maji, ukiwa unazaa sana na wenye matawi mengi kwa sababu ya wingi wa maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mama yako alikuwa kama mzabibu, katika damu yako, uliopandwa karibu na maji; akazaa sana na kujaa matawi, kwa sababu ya maji mengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mama yako alikuwa kama mzabibu shambani, uliopandikizwa kando ya maji, ambao ulizaa sana kwa kuwa na maji tele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Mama yako alikuwa kama mzabibu katika shamba lako la mizabibu uliopandwa kando ya maji, ukiwa unazaa sana na wenye matawi mengi kwa sababu ya wingi wa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Mama yako alikuwa kama mzabibu katika shamba lako la mizabibu uliopandwa kando ya maji, ukiwa unazaa sana na wenye matawi mengi kwa sababu ya wingi wa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mama yako alikuwa kama mzabibu, katika damu yako, uliopandwa karibu na maji; akazaa sana na kujaa matawi, kwa sababu ya maji mengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mama yako alikuwa kama mzabibu shambani, uliopandikizwa kando ya maji, ambao ulizaa sana kwa kuwa na maji tele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mama yako alikuwa kama mzabibu shambani kwa mizabibu yako uliopandwa penye maji, ukazaa matunda, ukawa na matawi mengi, kwani ulikuwa penye maji mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mama yako alikuwa kama mzabibu, katika damu yako, uliopandwa karibu na maji; akazaa sana na kujaa matawi, kwa sababu ya maji mengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama yako alikuwa kama muzabibu katika shamba, uliopandikizwa pembeni ya maji, ambao ulizaa sana kwa kuwa na maji mengi.