Ezekiel 19:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ulingolewa kwa hasira ukatupwa chini ardhini; upepo wa mashariki ukaukausha, matunda yake yakapukutika; matawi yake yenye nguvu yalikaushwa, nao moto ukauteketeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini uling’olewa kwa hasira kali na kutupwa chini. Upepo wa mashariki uliufanya usinyae, matunda yake yakapukutika, matawi yake yenye nguvu yakanyauka na moto ukayateketeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini aling'olewa kwa ghadhabu, akaangushwa chini, upepo wa mashariki ukakausha matunda yake; vijiti vyake vya nguvu vikavunjika, vikakauka; moto ulivila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini uling'olewa kwa hasira ukatupwa chini ardhini; upepo wa mashariki ukaukausha, matunda yake yakapukutika; matawi yake yenye nguvu yalikaushwa, nao moto ukauteketeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini uling'olewa kwa hasira kali na kutupwa chini. Upepo wa mashariki uliufanya usinyae, matunda yake yakapukutika, matawi yake yenye nguvu yakanyauka na moto ukayateketeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini uling’olewa kwa hasira kali na kutupwa chini. Upepo wa mashariki uliufanya usinyae, matunda yake yakapukutika, matawi yake yenye nguvu yakanyauka na moto ukayateketeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini aling'olewa kwa ghadhabu, akaangushwa chini, upepo wa mashariki ukakausha matunda yake; vijiti vyake vya nguvu vikavunjika, vikakauka; moto ulivila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ulingolewa kwa hasira ukatupwa chini ardhini; upepo wa mashariki ukaukausha, matunda yake yakapukutika; matawi yake yenye nguvu yalikaushwa, nao moto ukauteketeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ukang'olewa kwa makali yenye moto, ukatupwa chini, upepo uliotoka maawioni kwa jua ukayanyausha matunda yake, matawi yake yenye nguvu yakavunjwa, yakakauka, kisha moto ukayala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini aling’olewa kwa ghadhabu, akaangushwa chini, upepo wa mashariki ukakausha matunda yake; vijiti vyake vya nguvu vikavunjika, vikakauka; moto ulivila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini uliongolewa kwa hasira, ukatupwa chini juu ya udongo; upepo mukali wa mashariki ukaukausha, matunda yake yakaanguka; matawi yake yenye nguvu yalikauka, nao moto ukauteketeza.