Ezekiel 19:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha watoto wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na useme: “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike miongoni mwa simba! Alilala katikati ya wana simba na kulisha watoto wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
useme, Mama yako alikuwa nini? Simba mke; alijilaza kati ya simba, kati ya wana-simba aliwalisha watoto wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha watoto wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na useme: “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike miongoni mwa simba! Alilala katikati ya wana simba na kulisha watoto wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na useme: “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike miongoni mwa simba! Alilala katikati ya wana simba na kulisha watoto wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
useme, Mama yako alikuwa nini? Simba mke; alijilaza kati ya simba, kati ya wanasimba aliwalisha watoto wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mama yenu alikuwa simba wa fahari miongoni mwa simba wengine. Alikaa kati ya simba vijana, akawalisha watoto wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sema: Mama yako alikuwa nani? Simba mke! Alilala kwenye masimba, kwenye wana wa simba katikati aliwakuza wanawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
useme, Mama yako alikuwa nini? Simba mke; alijilaza kati ya simba, kati ya wana-simba aliwalisha watoto wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama yenu alikuwa simba mwenye utukufu kati ya simba wengine. Alikaa kati ya simba wakali, akawalisha watoto wake.