Ezekiel 19:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mama yake alipoona kuwa amechoka kungoja, matumaini ya kumpata yamekwisha, alimchukua mtoto wake mwingine, akamfanya simba kijana hodari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mama yake alipongoja na kuona tumaini lake halitimiziki, nayo matarajio yake yametoweka, akamchukua mwanawe mwingine na kumfanya simba mwenye nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mamaye alipoona kwamba amemngoja, na tumaini lake limepotea, akatwaa mtoto mwingine katika watoto wake, akamfanya mwana-simba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mama yake alipoona kuwa amechoka kungoja, matumaini ya kumpata yamekwisha, alimchukua mtoto wake mwingine, akamfanya simba kijana hodari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Mama yake alipongoja na kuona tumaini lake halitimiziki, nayo matarajio yake yametoweka, akamchukua mwanawe mwingine na kumfanya simba mwenye nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Mama yake alipongoja na kuona tumaini lake halitimiziki, nayo matarajio yake yametoweka, akamchukua mwanawe mwingine na kumfanya simba mwenye nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mamaye alipoona kwamba amemngoja, na tumaini lake limepotea, akatwaa mtoto mwingine katika watoto wake, akamfanya mwanasimba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mama yake alipoona kuwa amechoka kungoja, matumaini ya kumpata yamekwisha, alimchukua mtoto wake mwingine, akamfanya simba kijana hodari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mama yake alipoona, ya kuwa alimngojea bure, kingojeo chake kikapotea; kisha akachukua mwingine katika wanawe, akamtunza, awe kijana wa simba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mamaye alipoona kwamba amemngoja, na tumaini lake limepotea, akatwaa mtoto mwingine katika watoto wake, akamfanya mwana-simba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama yake alipoona kwamba amechoka kungoja, matumaini ya kumupata yakakwisha, akamutwaa mutoto wake mwingine, akamufanya simba mukali.