Ezekiel 19:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo alipokuwa amekua, akaanza kuzurura na simba wengine. Naye pia akajifunza kuwinda, akawa simba mla watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alizungukazunguka miongoni mwa simba, kwa kuwa sasa alikuwa simba mwenye nguvu. Akajifunza kurarua mawindo naye akala watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaenda huko na huko kati ya simba, akawa mwana-simba, akajifunza kuwinda mawindo, akala watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo alipokuwa amekua, akaanza kuzurura na simba wengine. Naye pia akajifunza kuwinda, akawa simba mla watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alizungukazunguka miongoni mwa simba, kwa kuwa sasa alikuwa simba mwenye nguvu. Akajifunza kurarua mawindo naye akala watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alizungukazunguka miongoni mwa simba, kwa kuwa sasa alikuwa simba mwenye nguvu. Akajifunza kurarua mawindo naye akala watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaenda huku na huko kati ya simba, akawa mwanasimba, akajifunza kuwinda mawindo, akala watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo alipokuwa amekua, akaanza kuzurura na simba wengine. Naye pia akajifunza kuwinda, akawa simba mla watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajiendea kwenye masimba kati, akawa kijana wa simba, akajifunza kunyafua nyama aliowakamata, akala nao watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaenda huko na huko kati ya simba, akawa mwana-simba, akajifunza kuwinda mawindo, akala watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huyo alipokuwa amekwisha kukomaa, akaanza kutembea pamoja na simba wengine. Naye vilevile akajifunza kuwinda, akakuwa simba mukula watu.