Ezekiel 19:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ndoana wakamtia katika kizimba chao, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni. Huko, wakamtia gerezani, ili ngurumo yake isisikike tena juu ya milima ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamvutia kwenye tundu kwa kutumia ndoana, wakamleta kwa mfalme wa Babeli. Wakamfunga gerezani, hivyo kunguruma kwake hakukusikika tena katika milima ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamtia katika tundu kwa kulabu, wakamleta kwa mfalme wa Babeli wakamtia ndani ya ngome, sauti yake isisikiwe tena juu ya milima ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ndoana wakamtia katika kizimba chao, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni. Huko, wakamtia gerezani, ili ngurumo yake isisikike tena juu ya milima ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kutumia ndoana wakamvutia kwenye tundu na kumleta mpaka kwa mfalme wa Babeli. Wakamtia gerezani, hivyo kunguruma kwake hakukusikika tena katika milima ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kutumia ndoana wakamvutia kwenye tundu na kumleta mpaka kwa mfalme wa Babeli. Wakamtia gerezani, hivyo kunguruma kwake hakukusikika tena katika milima ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamtia katika tundu kwa kulabu, wakamleta kwa mfalme wa Babeli wakamtia ndani ya ngome, sauti yake isisikiwe tena juu ya milima ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ndoana wakamtia katika kizimba chao, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni. Huko, wakamtia gerezani, ili ngurumo yake isisikike tena juu ya milima ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakamtia pete puani, wakamtia katika tundu kubwa, wakampeleka kwa mfalme wa Babeli, wakampeleka kweli, mpaka wakamweka bomani, kusudi sauti zake zisisikilike tena katika miji ya Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamtia katika tundu kwa kulabu, wakamleta kwa mfalme wa Babeli wakamtia ndani ya ngome, sauti yake isisikiwe tena juu ya milima ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ndoana wakamutia katika kizimba chao, wakamupeleka kwa mufalme wa Babeli. Kule, wakamutia katika kifungo, kusudi ngurumo yake isisikilike tena juu ya milima ya Waisraeli.