Ezekiel 2:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akaniambia, “Wewe mtu! Simama wima. Nataka kuongea nawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaniambia, “Mwanadamu, simama kwa miguu yako nami nitasema nawe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akaniambia, “Wewe mtu! Simama wima. Nataka kuongea nawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaniambia, “Mwanadamu, simama kwa miguu yako nami nitasema nawe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaniambia, “Mwanadamu, simama kwa miguu yako nami nitasema nawe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akaniambia, “Wewe mtu! Simama wima. Nataka kuongea nawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaniambia: Wewe mwana wa mtu, simama kwa miguu yako, niseme na wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akaniambia: Wewe mwanadamu! Simama. Ninataka kusema nawe.