Ezekiel 2:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe utawaambia maneno yangu, hata kama watasikia au hawatasikia, maana wao ni watu waasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lazima uwaambie maneno yangu, ikiwa watasikiliza au hawatasikiliza, kwa kuwa wao ni waasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawaambia maneno yangu, kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe utawaambia maneno yangu, hata kama watasikia au hawatasikia, maana wao ni watu waasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe lazima uwaambie maneno yangu, ikiwa wanasikiliza au hawasikilizi, kwa kuwa wao ni watu waasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe lazima uwaambie maneno yangu, ikiwa wanasikiliza au hawasikilizi, kwa kuwa wao ni watu waasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawaambia maneno yangu, iwe watasikia au hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe utawaambia maneno yangu, hata kama watasikia au hawatasikia, maana wao ni watu waasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti uwaambie maneno yangu, ikiwa wanasikia, au ikiwa wanaacha kusikia, kwani ndio wakatavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawaambia maneno yangu, kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe utawaambia maneno yangu, wakisikia au wakikataa kusikia, maana hao ni watu waasi.