Ezekiel 20:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwapa kanuni zangu na kuwafundisha amri zangu ambazo mtu akizifuata huishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikawapa amri zangu na kuwajulisha sheria zangu, kwa kuwa mtu anayezitii ataishi kwa hizo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikawapa amri zangu, na kuwaonyesha hukumu zangu, ambazo mwanadamu ataishi kwazo, kama akizitenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwapa kanuni zangu na kuwafundisha amri zangu ambazo mtu akizifuata huishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikawapa amri zangu na kuwajulisha sheria zangu, kwa kuwa mtu anayezitii ataishi kwa hizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikawapa amri zangu na kuwajulisha sheria zangu, kwa kuwa mtu anayezitii ataishi kwa hizo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikawapa amri zangu, na kuwaonesha hukumu zangu, ambazo mwanadamu ataishi kwa hizo, kama akizitenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwapa kanuni zangu na kuwafundisha amri zangu ambazo mtu akizifuata huishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawapa maongozi yangu, nikawajulisha nayo mashauri yangu, nayo ndiyo yatakayompa mtu uzima, akiyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikawapa amri zangu, na kuwaonyesha hukumu zangu, ambazo mwanadamu ataishi kwazo, kama akizitenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwapa masharti yangu na kuwafundisha maagizo yangu ambayo mutu akiyafuata ataishi.