Ezekiel 20:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nilisalimisha maisha yao, sikuwaangamiza kule jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini niliwahurumia, wala sikuwaangamiza wala kuwafuta kabisa jangwani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini jicho langu likawahurumia nisiwaangamize kabisa, wala sikuwakomesha kabisa jangwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nilisalimisha maisha yao, sikuwaangamiza kule jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini niliwahurumia wala sikuwaangamiza wala hakuwafuta kabisa jangwani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini niliwahurumia wala sikuwaangamiza wala hakuwafuta kabisa jangwani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini jicho langu likawahurumia nisiwaangamize kabisa, wala sikuwakomesha kabisa jangwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nilisalimisha maisha yao, sikuwaangamiza kule jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini macho yangu yakawaonea uchungu, nisiwaangamize; basi, nikaacha kuwamaliza nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini jicho langu likawahurumia nisiwaangamize kabisa, wala sikuwakomesha kabisa jangwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nikawaonea huruma, sikuwaangamiza kule katika jangwa.