Ezekiel 20:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu wenu. Fuateni kanuni zangu, shikeni amri zangu kwa uangalifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu; fuateni amri zangu, tena kuweni waangalifu kushika sheria zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi ni Bwana, Mungu wenu; endeni katika amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzitenda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu wenu. Fuateni kanuni zangu, shikeni amri zangu kwa uangalifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, fuateni amri zangu tena iweni waangalifu kushika sheria zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ndimi bwana, Mungu wenu, fuateni amri zangu tena kuweni waangalifu kushika sheria zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi ni BWANA, Mungu wenu; endeni katika amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzitenda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu wenu. Fuateni kanuni zangu, shikeni amri zangu kwa uangalifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi Bwana ni Mungu wenu, yafuateni maongozi yangu! Yashikeni nayo mashauri yangu, myafanaye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi ni BWANA, Mungu wenu; endeni katika amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzitenda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi Yawe ni Mungu wenu. Mufuate masharti yangu, mushike maagizo yangu kwa uangalifu.