Ezekiel 20:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tena niliwapa kanuni mbaya na amri ambazo mtu akizifuata hataishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia niliwaacha wafuate amri ambazo hazikuwa nzuri na sheria ambazo mtu hawezi kuishi kwa hizo sheria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena naliwapa amri zisizokuwa njema, na hukumu ambazo hawakuweza kuishi kwazo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tena niliwapa kanuni mbaya na amri ambazo mtu akizifuata hataishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia niliwaacha wafuate amri ambazo hazikuwa nzuri na sheria ambazo mtu hawezi kuishi kwa hizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia niliwaacha wafuate amri ambazo hazikuwa nzuri na sheria ambazo mtu hawezi kuishi kwa hizo sheria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena niliwapa amri zisizokuwa njema, na hukumu ambazo hawakuweza kuishi kwazo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tena niliwapa kanuni mbaya na amri ambazo mtu akizifuata hataishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mimi nami nilipowatolea maongozi yasiyokuwa mema, hata amashauri yasiyoweza kuwapa uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena naliwapa amri zisizokuwa njema, na hukumu ambazo hawakuweza kuishi kwazo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena niliwapa masharti mabaya na maagizo ambayo hayawezi kuwawezesha kuishi.