Ezekiel 20:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Mimi nikawauliza, ‘Mahali hapo palipoinuka mnapokwenda panaitwaje?’ Wao wakapaita ‘Mahali palipoinuka’ mpaka leo.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikawaambia: Ni nini maana yake hapa mahali pa juu pa kuabudia mnapopaendea?’ ” (Basi mahali pale panaitwa Bama hata leo.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikawauliza, Nini maana yake mahali palipoinuka mnapopaendea? Basi, jina lake mahali pale ni Bama
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Mimi nikawauliza, ‘Mahali hapo palipoinuka mnapokwenda panaitwaje?’ Wao wakapaita ‘Mahali palipoinuka’ mpaka leo.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikawaambia: Ni nini maana yake hapa mahali pa juu pa kuabudia miungu mnapopaendea?’ ” (Basi jina la mahali pale panaitwa Bama hata hivi leo.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikawaambia: Ni nini maana yake hapa mahali pa juu pa kuabudia miungu mnapopaendea?’ ” (Basi jina la mahali pale panaitwa Bama hata hivi leo.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikawauliza, Nini maana yake mahali palipoinuka mnapopaendea? Basi, jina lake mahali pale ni Bama hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Mimi nikawauliza, ‘Mahali hapo palipoinuka mnapokwenda panaitwaje?’ Wao wakapaita ‘Mahali palipoinuka’ mpaka leo.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawauliza: Kiko kilima gani, mnachokijia hapo? Kwa hiyo jina lake likaitwa Kilima hata siku ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikawauliza, Nini maana yake mahali palipoinuka mnapopaendea? Basi, jina lake mahali pale ni Bama hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Mimi nikawauliza: Pahali hapo palipoinuka munapokwenda panaitwa namna gani? Wao wakapaita Pahali Palipoinuka mpaka leo.)