Ezekiel 20:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, waambie Waisraeli kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nawauliza hivi: Je, mtajitia unajisi kwa kufuata desturi za wazee wenu na kuviabudu vitu vinavyonichukiza?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo iambie nyumba ya Israeli: ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Je, mtajinajisi kama vile baba zenu walivyofanya na kutamani vinyago vyao vya machukizo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, uwaambie nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Mnajitia unajisi kwa kuzifuata njia za baba zenu? Mnakwenda kufanya uasherati kwa kuyafuata machukizo yao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, waambie Waisraeli kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nawauliza hivi: Je, mtajitia unajisi kwa kufuata desturi za wazee wenu na kuviabudu vitu vinavyonichukiza?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo iambie nyumba ya Israeli: ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Je, mtajinajisi kama vile baba zenu walivyofanya na kutamani vinyago vyao vya machukizo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo iambie nyumba ya Israeli: ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Je, mtajinajisi kama vile baba zenu walivyofanya na kutamani vinyago vyao vya machukizo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, uwaambie nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Mnajitia unajisi kwa kuzifuata njia za baba zenu? Mnakwenda kufanya uasherati kwa kuyafuata machukizo yao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, waambie Waisraeli kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nawauliza hivi: Je, mtajitia unajisi kwa kufuata desturi za wazee wenu na kuviabudu vitu vinavyonichukiza?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo uambie mlango wa Isiraeli: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Je? Mnajipatia uchafu kwa kuzishika njia za baba zenu? Je? Nanyi mnafanya ugoni kwa kuyafuata matapisho yao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, uwaambie nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Je! Mnajitia unajisi kwa kuzifuata njia za baba zenu? Mnakwenda kufanya uasherati kwa kuyafuata machukizo yao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, uwaambie Waisraeli kwamba: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Mutajichafua kwa kufuata desturi za wazee wenu na kuviabudu vitu vinavyonichukiza?