Ezekiel 20:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawatoa kutoka mataifa na kuwakusanya kutoka nchi mlikotawanywa kwa mkono wangu wenye nguvu, kwa ukali na kwa ghadhabu yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawatoa toka katika mataifa na kuwakusanya kutoka nchi mlikotawanywa, kwa mkono wa nguvu na kwa mkono ulionyooshwa na kwa ghadhabu iliyomwagwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitawatoa katika mataifa, na kuwakusanya, na kuwatoa katika nchi mlizotawanyika ndani yake, kwa mkono hodari, na kwa mkono ulionyoshwa, na kwa ghadhabu iliyomwagika;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawatoa kutoka mataifa na kuwakusanya kutoka nchi mlikotawanywa kwa mkono wangu wenye nguvu, kwa ukali na kwa ghadhabu yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawatoa toka katika mataifa na kuwakusanya kutoka katika nchi mlikotawanywa, kwa mkono wa nguvu na kwa mkono ulionyooshwa na kwa ghadhabu iliyomwagwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawatoa toka katika mataifa na kuwakusanya kutoka nchi mlikotawanywa, kwa mkono wa nguvu na kwa mkono ulionyooshwa na kwa ghadhabu iliyomwagwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitawatoa katika mataifa, na kuwakusanya, na kuwatoa katika nchi mlizotawanyika ndani yake, kwa mkono hodari, na kwa mkono ulionyoshwa, na kwa ghadhabu iliyomwagika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawatoa kutoka mataifa na kuwakusanya kutoka nchi mlikotawanywa kwa mkono wangu wenye nguvu, kwa ukali na kwa ghadhabu yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nitawatoa kwenye makabila mengine nikiwakusanya na kuwatoa katika nchi hizi, mlikotupwa kwa kiganja chenye nguvu na kwa mkono ukunjukao na kwa makali yenye moto yamwagwayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitawatoa katika mataifa, na kuwakusanya, na kuwatoa katika nchi mlizotawanyika ndani yake, kwa mkono hodari, na kwa mkono ulionyoshwa, na kwa ghadhabu iliyomwagika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawatoa kutoka mataifa na kuwakusanya kutoka katika inchi mulimosambazwa kwa mukono wangu wenye nguvu, kwa ukali na kwa kasirani yangu.