Ezekiel 20:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nitawalazimisha muwe chini ya uchungaji wangu kila mmoja, na kuwafanya mlitii agano langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawafanya mpite chini ya fimbo yangu, nami nitawaleta katika mkataba wa agano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitawapitisha chini ya fimbo, nami nitawaingiza katika mafungo ya agano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nitawalazimisha muwe chini ya uchungaji wangu kila mmoja, na kuwafanya mlitii agano langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawafanya mpite chini ya fimbo yangu, nami nitawaleta katika mkataba wa Agano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawafanya mpite chini ya fimbo yangu, nami nitawaleta katika mkataba wa Agano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitawapitisha chini ya fimbo, nami nitawaingiza katika mafungo ya agano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nitawalazimisha muwe chini ya uchungaji wangu kila mmoja, na kuwafanya mlitii agano langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawapitisha chini ya fimbo ya uchungaji, nije kuwashurutisha kulishika agano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitawapitisha chini ya fimbo, nami nitawaingiza katika mafungo ya agano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawalazimisha mukuwe chini ya uchungaji wangu kila mumoja, na kuwaongoza mupate kutii agano langu.