Ezekiel 20:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu, je, uko tayari kuwahukumu watu hawa? Basi, wahukumu. Wajulishe waliyofanya wazee wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, utawahukumu? Je, mwanadamu, utawahukumu? Basi uwakabili kwa ajili ya machukizo ya baba zao
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Utawahukumu, mwanadamu, utawahukumu? Uwajulishe machukizo ya baba zao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu, je, uko tayari kuwahukumu watu hawa? Basi, wahukumu. Wajulishe waliyofanya wazee wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, utawahukumu? Je, mwanadamu, utawahukumu? Basi uwakabili kwa ajili ya machukizo ya baba zao
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, utawahukumu? Je, mwanadamu, utawahukumu? Basi uwakabili kwa ajili ya machukizo ya baba zao
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Utawahukumu, mwanadamu, utawahukumu? Uwajulishe machukizo ya baba zao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu, je, uko tayari kuwahukumu watu hawa? Basi, wahukumu. Wajulishe waliyofanya wazee wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haitafaa, ukiwahukumu wewe? Je? Haitafaa ukiwahukumu wewe, mwana wa mtu? Wajulishe machukizo ya baba zao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Utawahukumu, mwanadamu, utawahukumu? Uwajulishe machukizo ya baba zao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu, uko tayari kuwahukumu watu hawa? Basi, uwahukumu. Uwajulishe mambo wazee wao waliyofanya.