Ezekiel 20:46 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wewe mtu, geukia upande wa kusini uhubiri dhidi ya nchi ya kusini, dhidi ya wakazi wa msitu wa Negebu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwanadamu, uelekeze uso wako upande wa kusini, hubiri dhidi ya upande wa kusini, na utoe unabii dhidi ya msitu wa Negebu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu, uelekeze uso wako kusini, ukadondoze neno lako upande wa kusini, ukatabiri juu ya msitu wa uwanda wa Negebu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wewe mtu, geukia upande wa kusini uhubiri dhidi ya nchi ya kusini, dhidi ya wakazi wa msitu wa Negebu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mwanadamu, uelekeze uso wako upande wa kusini, hubiri juu ya upande wa kusini na utoe unabii juu ya msitu wa Negebu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mwanadamu, uelekeze uso wako upande wa kusini, hubiri juu ya upande wa kusini na utoe unabii juu ya msitu wa Negebu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu, uelekeze uso wako kusini, ukadondoze neno lako upande wa kusini, ukatabiri juu ya msitu wa uwanda wa Negebu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wewe mtu, geukia upande wa kusini uhubiri dhidi ya nchi ya kusini, dhidi ya wakazi wa msitu wa Negebu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwana wa mtu, uelekeze uso wako kutazama upande wa kusini, uitangazie nchi yenye jua kali, ukiufumbulia mwitu ulioko kwenye mbuga za kusini yatakayokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)