Ezekiel 20:47 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie wasikilize neno langu mimi Mwenyezi-Mungu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Nitawasha moto kwako, nao utateketeza miti yote, mibichi na mikavu; utaenea tangu kusini mpaka kaskazini wala hakuna atakayeweza kuzima miali yake. Kila mtu atausikia mchomo wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waambie watu wa Negebu: ‘Sikieni neno la Mwenyezi Mungu. Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Ninakaribia kukuwasha moto, nao utateketeza miti yako yote, mibichi na iliyokauka. Miali ya moto haitaweza kuzimwa na kila uso kutoka kusini mpaka kaskazini utakaushwa kwa moto huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukauambie msitu wa Negebu, Lisikie neno la Bwana; Bwana MUNGU asema hivi; Tazama nitawasha moto ndani yako, nao utakula kila mti mbichi ndani yako, na kila mti mkavu; miali ya moto ule haitazimika, na nyuso zote toka kusini hata kaskazini zitateketezwa kwa moto huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie wasikilize neno langu mimi Mwenyezi-Mungu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Nitawasha moto kwako, nao utateketeza miti yote, mibichi na mikavu; utaenea tangu kusini mpaka kaskazini wala hakuna atakayeweza kuzima miali yake. Kila mtu atausikia mchomo wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waambie watu wa Negebu: ‘Sikieni neno la BWANA. Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kukutia moto, nao utateketeza miti yako yote, mibichi na iliyokauka. Miali ya moto haitaweza kuzimwa na kila uso kutoka kusini mpaka kaskazini utakaushwa kwa moto huo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waambie watu wa Negebu: ‘Sikieni neno la bwana. Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kukutia moto, nao utateketeza miti yako yote, mibichi na iliyokauka. Miali ya moto haitaweza kuzimwa na kila uso kutoka kusini mpaka kaskazini utakaushwa kwa moto huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukauambie msitu wa Negebu, Lisikie neno la BWANA; Bwana MUNGU asema hivi; Tazama nitawasha moto ndani yako, nao utakula kila mti mbichi ndani yako, na kila mti mkavu; miali ya moto ule haitazimika, na nyuso zote toka kusini hadi kaskazini zitateketezwa kwa moto huo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie wasikilize neno langu mimi Mwenyezi-Mungu. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema: Nitawasha moto kwako, nao utateketeza miti yote, mibichi na mikavu; utaenea tangu kusini mpaka kaskazini wala hakuna atakayeweza kuzima miali yake. Kila mtu atausikia mchomo wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uuambie huo mwitu ulioko kusini: Lisikie neno la Bwana! Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Utaona, nikiwasha moto kwako utakaokula kwako miti mibichi yote na miti mikavu yote; miali ya moto huo uwakao haitazimika, mpaka nyuso zote toka kusini hata kaskazini ziunguzwe nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukauambie msitu wa Negebu, Lisikie neno la BWANA; Bwana MUNGU asema hivi; Tazama nitawasha moto ndani yako, nao utakula kila mti mbichi ndani yako, na kila mti mkavu; miali ya moto ule haitazimika, na nyuso zote toka kusini hata kaskazini zitateketezwa kwa moto huo.