Ezekiel 20:48 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote watajua kwamba ni mimi Mwenyezi-Mungu niliyeuwasha na hautazimika.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja ataona kuwa Mimi Mwenyezi Mungu ndiye niliyeuwasha huo moto; nao hautazimwa.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote wenye mwili wataona ya kuwa mimi, Bwana, nimeuwasha; hautazimika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote watajua kwamba ni mimi Mwenyezi-Mungu niliyeuwasha na hautazimika.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja ataona kuwa mimi BWANA ndiye niliyeuwasha huo moto, nao hautazimwa.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja ataona kuwa mimi bwana ndiye niliyeuwasha huo moto, nao hautazimwa.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote wenye mwili wataona ya kuwa mimi, BWANA, nimeuwasha; hautazimika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote watajua kwamba ni mimi Mwenyezi-Mungu niliyeuwasha na hautazimika.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote wenye miili watakapoona ya kuwa mimi ni Bwana, ya kuwa mimi nimewasha moto usiozimika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote wenye mwili wataona ya kuwa mimi, BWANA, nimeuwasha; hautazimika.