Ezekiel 20:49 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha nami nikasema, “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu! Watu wanalalamika juu yangu na kusema: ‘Huyu akisema, ni mafumbo tu!’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo niliposema, “Aa, Bwana Mungu Mwenyezi! Wao hunisema, ‘Huyu si huzungumza mafumbo tu?’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, wao hunisema; Je! Mtu huyu si mtu mwenye kupiga mithali?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha nami nikasema, “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu! Watu wanalalamika juu yangu na kusema: ‘Huyu akisema, ni mafumbo tu!’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo niliposema, “Aa, BWANA Mwenyezi! Wao hunisema, ‘Huyu si huzungumza mafumbo tu?’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo niliposema, “Aa, bwana Mwenyezi! Wao hunisema, ‘Huyu si huzungumza mafumbo tu?’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, wao hunisema; Je! Mtu huyu si mtu mwenye kupiga mithali?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha nami nikasema, “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu! Watu wanalalamika juu yangu na kusema: ‘Huyu akisema, ni mafumbo tu!’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasema: E Bwana Mungu, hao hunisema kwamba: Yeye siye atumiaye mafumbo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, wao hunisema; Je! Mtu huyu si mtu mwenye kupiga mithali?