Ezekiel 21:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenolewa ili ufanye mauaji, umengarishwa umetamete kama umeme!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
umenolewa kwa ajili ya mauaji, umesuguliwa ili ung’ae kama miali ya radi! “ ‘Je, tuifurahie fimbo ya utawala ya mwanangu Yuda? Upanga unadharau kila fimbo kama hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
umenolewa ili kufanya machinjo; umesuguliwa ili uwe kama umeme; basi je! Tufanye furaha? Upanga unadharau fimbo ya mwanangu, kama unavyodharau kila mti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenolewa ili ufanye mauaji, umeng'arishwa umetamete kama umeme!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
umenolewa kwa ajili ya mauaji, umesuguliwa ili ung'ae kama umeme wa radi! “ ‘Je, tuifurahie fimbo ya utawala ya mwanangu Yuda? Upanga unaidharau kila fimbo ya namna hiyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
umenolewa kwa ajili ya mauaji, umesuguliwa ili ung’ae kama umeme wa radi! “ ‘Je, tuifurahie fimbo ya utawala ya mwanangu Yuda? Upanga unaidharau kila fimbo ya namna hiyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
umenolewa ili kufanya machinjo; umesuguliwa ili uwe kama umeme; basi je! Tufanye furaha? Upanga unadharau fimbo ya mwanangu, kama unavyodharau kila mti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenolewa ili ufanye mauaji, umengarishwa umetamete kama umeme!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umenolewa, kusudi uchinje machinjo, ukasuguliwa, kusudi ukatuke kama umeme. Au tuufurahie? Fimbo ya kumpigia mwanangu haishindwi na mti wo wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
umenolewa ili kufanya machinjo; umesuguliwa ili uwe kama umeme; basi je! Tufanye furaha? Upanga unadharau fimbo ya mwanangu, kama unavyodharau kila mti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote watajua kwamba mimi Yawe ndiye niliyeuchomoa upanga ndani ya mufuko wake na wala hautarudishwa tena ndani.