Ezekiel 21:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenolewa na kungarishwa uwekwe mkononi mwa mwuaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa, ili upate kushikwa mkononi, umenolewa na kusuguliwa, umewekwa tayari kwa mkono wa muuaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao umenolewa usuguliwe, upate kushikwa mkononi; upanga umenolewa, naam, umesuguliwa, ili kutiwa katika mkono wake auaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenolewa na kung'arishwa uwekwe mkononi mwa mwuaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa, ili upate kushikwa mkononi, umenolewa na kusuguliwa, umewekwa tayari kwa mkono wa mwuaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa, ili upate kushikwa mkononi, umenolewa na kusuguliwa, umewekwa tayari kwa mkono wa muuaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao umetolewa ili ung'arishwe upate kushikwa mkononi; upanga umenolewa, naam, umesuguliwa, ili kutiwa katika mkono wake auaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenolewa na kungarishwa uwekwe mkononi mwa mwuaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliutoa, usuguliwe vema, apate kuushika mkononi; nao ukanolewa ule upanga, ukasuguliwa vema, mwuaji apewe mkononi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao umenolewa usuguliwe, upate kushikwa mkononi; upanga umenolewa, naam, umesuguliwa, ili kutiwa katika mkono wake auaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe mwanadamu, ujikunje kama mutu aliyekata tamaa, uomboleze mbele yao.