Ezekiel 21:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe upanga, shambulia kulia, shambulia kushoto; elekeza ncha yako pande zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee upanga, kata upande wa kuume, kisha upande wa kushoto, mahali popote makali yako yatakapoelekezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jiweke tayari, enenda upande wa kuume; jipange, enenda upande wa kushoto; mahali po pote utakapouelekeza uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe upanga, shambulia kulia, shambulia kushoto; elekeza ncha yako pande zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee upanga, kata upande wa kuume, kisha upande wa kushoto, mahali po pote makali yako yatakapoelekezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee upanga, kata upande wa kuume, kisha upande wa kushoto, mahali popote makali yako yatakapoelekezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jiweke tayari, nenda upande wa kulia; jipange, nenda upande wa kushoto; mahali popote utakapouelekeza uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe upanga, shambulia kulia, shambulia kushoto; elekeza ncha yako pande zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jitege kupiga kuumeni! Jiweke tayari kupiga kushotoni! Piga po pote, makali yako yatakapoelekea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jiweke tayari, enenda upande wa kuume; jipange, enenda upande wa kushoto; mahali po pote utakapouelekeza uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umenolewa na kuangarishwa uwekwe katika mukono wa mwuaji.