Ezekiel 21:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nitapiga makofi, nitatosheleza ghadhabu yangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi nami nitapiga makofi, nayo ghadhabu yangu itapungua. Mimi Mwenyezi Mungu nimesema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nami nitapiga makofi, mimi nami nitashibisha ghadhabu yangu; mimi, Bwana, nimenena neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nitapiga makofi, nitatosheleza ghadhabu yangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi nami nitapiga makofi, nayo ghadhabu yangu itapungua. Mimi BWANA nimesema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi nami nitapiga makofi, nayo ghadhabu yangu itapungua. Mimi bwana nimesema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nami nitapiga makofi, mimi nami nitashibisha ghadhabu yangu; mimi, BWANA, nimenena neno hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nitapiga makofi, nitatosheleza ghadhabu yangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nami nitayapiga makofi yangu nitakapoyatuliza makali yangu yenye moto; mimi Bwana nimeyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nami nitapiga makofi, mimi nami nitashibisha ghadhabu yangu; mimi, BWANA, nimenena neno hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe mwanadamu, ulie na kuomboleza upanga huo umenyooshwa juu ya watu wangu, juu ya wakubwa wote wa Waisraeli. Wataangamizwa kwa upanga pamoja na watu wangu. Ujipigepige kifua kwa huzuni.