Ezekiel 21:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utachora njia upanga utakapopitia kwenda kuufikilia mji wa Raba wa Waamoni, na njia nyingine inayoelekea mji wenye ngome wa Yerusalemu nchini Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Weka alama njia moja kwa ajili ya upanga upate kuja dhidi ya Raba ya Waamoni na nyingine upate kuja dhidi ya Yuda na Yerusalemu iliyozungushiwa ngome.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utaagiza njia, upanga upate kufikilia Raba wa wana wa Amoni, na kufikilia Yuda katika Yerusalemu, wenye maboma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utachora njia upanga utakapopitia kwenda kuufikilia mji wa Raba wa Waamoni, na njia nyingine inayoelekea mji wenye ngome wa Yerusalemu nchini Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Weka alama njia moja kwa ajili ya upanga upate kuja dhidi ya Raba ya Waamori na nyingine upate kuja dhidi ya Yuda na Yerusalemu iliyozungushiwa ngome.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Weka alama njia moja kwa ajili ya upanga upate kuja dhidi ya Raba ya Waamoni na nyingine upate kuja dhidi ya Yuda na Yerusalemu iliyozungushiwa ngome.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utachora njia, ili upanga upate kufikia Raba wa wana wa Amoni, na kufikia Yuda katika Yerusalemu, wenye maboma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utachora njia upanga utakapopitia kwenda kuufikilia mji wa Raba wa Waamoni, na njia nyingine inayoelekea mji wenye ngome wa Yerusalemu nchini Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tengeneza njia, upanga utayoishika kwenda Rabati ya wana wa Amoni, tena nyingine kwenda Yuda katika Yerusalemu ulio na boma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utaagiza njia, upanga upate kufikilia Raba wa wana wa Amoni, na kufikilia Yuda katika Yerusalemu, wenye maboma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo wamevunjika moyo na wengi wanaanguka. Nimeiweka chongo ya upanga katika milango yao yote. Umefanywa uangae kama umeme, umengarishwa kwa ajili ya mauaji.