Ezekiel 21:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nawe mtawala wa Israeli wewe ni mpotovu kabisa. Siku yako imefika, naam, siku ya adhabu yako ya mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yake imewadia, ambaye wakati wake wa adhabu umefikia kilele chake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wewe, Ewe mtu mwovu, uliyetiwa jeraha kiasi cha kukuua, mkuu wa Israeli, ambaye siku yako imekuja, katika wakati wa uovu wa mwisho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nawe mtawala wa Israeli wewe ni mpotovu kabisa. Siku yako imefika, naam, siku ya adhabu yako ya mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wewe, Ewe mtu mwovu, uliyetiwa jeraha kiasi cha kukuua, mkuu wa Israeli, ambaye siku yako imekuja, katika wakati wa uovu wa mwisho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nawe mtawala wa Israeli wewe ni mpotovu kabisa. Siku yako imefika, naam, siku ya adhabu yako ya mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe mkuu wa Isiraeli uliyejipatia uchafu kwa kuacha kunicha, siku yako imetimia, kwa kuwa ni wakati wa mwisho wa kukora manza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wewe, Ewe mtu mwovu, uliyetiwa jeraha kiasi cha kukuua, mkuu wa Israeli, ambaye siku yako imekuja, katika wakati wa uovu wa mwisho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utachora njia upanga utakapopitia kwenda kuufikilia muji Raba wa Waamoni, na njia ingine inayoelekea Yerusalema wenye kuzungukwa na kuta katika inchi ya Yuda.