Ezekiel 21:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ewe mtu, tabiri kuhusu Waamoni na maneno yao ya dhihaka kwa Waisraeli: Waambie kuwa nasema: Upanga, upanga! Upanga umenyoshwa kuua, umenolewa uangamize, umengarishwa ungae kama umeme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nawe, mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi kuhusu Waamoni na matukano yao: “ ‘Upanga, upanga, umefutwa kwa ajili ya kuua, umesuguliwa ili kuangamiza na unametameta kama miali ya radi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, mwanadamu, tabiri useme, Bwana MUNGU asema hivi, katika habari za wana wa Amoni, na katika habari za aibu yao; Nena, Upanga; upanga umefutwa; umesuguliwa, ili kuua, ili kuufanya uue sana, upate kuwa kama umeme;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ewe mtu, tabiri kuhusu Waamoni na maneno yao ya dhihaka kwa Waisraeli: Waambie kuwa nasema: Upanga, upanga! Upanga umenyoshwa kuua, umenolewa uangamize, umeng'arishwa ung'ae kama umeme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nawe, mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo kuhusu Waamoni na matukano yao. “ ‘Upanga, upanga, umefutwa kwa ajili ya kuua, umesuguliwa ili kuangamiza na unametameta kama umeme wa radi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nawe, mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo kuhusu Waamoni na matukano yao. “ ‘Upanga, upanga, umefutwa kwa ajili ya kuua, umesuguliwa ili kuangamiza na unametameta kama umeme wa radi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, mwanadamu, tabiri useme, Bwana MUNGU asema hivi, kuhusu wana wa Amoni, na kuhusu aibu yao; Nena, Upanga; upanga umefutwa; umeng'arishwa, ili kuua, ili kuufanya uue sana, upate kuwa kama umeme;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ewe mtu, tabiri kuhusu Waamoni na maneno yao ya dhihaka kwa Waisraeli: Waambie kuwa nasema: Upanga, upanga! Upanga umenyoshwa kuua, umenolewa uangamize, umengarishwa ungae kama umeme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe mwana wa mtu, yafumbue yatakayokuwa ukisema: Haya ndiyo Bwana Mungu anayowaambia wana wa Amoni kwa ajili ya matusi yao, sema: Upanga ulio upanga kweli umechomolewa, nao umesuguliwa, upate kuchinja na kuua kabisa, kusudi uwe kama umeme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, mwanadamu, tabiri useme, Bwana MUNGU asema hivi, katika habari za wana wa Amoni, na katika habari za aibu yao; Nena, Upanga; upanga umefutwa; umesuguliwa, ili kuua, ili kuufanya uue sana, upate kuwa kama umeme;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu wa Yerusalema watauzania kuwa ni utabiri wa uongo kwa sababu ya mapatano waliyofanya. Hata hivyo unabii huu utawakumbusha uovu wao na kusababisha kukamatwa kwao.