Ezekiel 21:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waambie Waisraeli kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi mwenyewe naja kupambana nanyi. Nitauchomoa upanga wangu alani mwake na kuwaua watu wema na wabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
uiambie: ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Mimi niko kinyume nawe. Nitautoa upanga wangu kwenye ala yake na kumkatilia mbali mwenye haki na mwovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
uiambie nchi ya Israeli, Bwana asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, nami nitautoa upanga wangu alani, nami nitamkatilia mbali nawe mtu mwenye haki na mtu mbaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waambie Waisraeli kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi mwenyewe naja kupambana nanyi. Nitauchomoa upanga wangu alani mwake na kuwaua watu wema na wabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uiambie: ‘Hili ndilo BWANA asemalo: Mimi niko kinyume nawe. Nitautoa upanga wangu kwenye ala yake na kumkatilia mbali mwenye haki na mwovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
uiambie: ‘Hili ndilo bwana asemalo: Mimi niko kinyume nawe. Nitautoa upanga wangu kwenye ala yake na kumkatilia mbali mwenye haki na mwovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
uiambie nchi ya Israeli, BWANA asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, nami nitautoa upanga wangu alani, nami nitamkatilia mbali nawe mtu mwenye haki na mtu mbaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waambie Waisraeli kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Mimi mwenyewe naja kupambana nanyi. Nitauchomoa upanga wangu alani mwake na kuwaua watu wema na wabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iambie nchi ya Isiraeli: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Utaona, nikikujia na kuuchomoa upanga wangu alani mwake, niangamize waongofu na wapotovu, watoweke kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
uiambie nchi ya Israeli, BWANA asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, nami nitautoa upanga wangu alani, nami nitamkatilia mbali nawe mtu mwenye haki na mtu mbaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie wasikilize neno la Yawe. Uwaambie kwamba Bwana wao Yawe anasema hivi: Nitawasha moto kwako, nao utateketeza miti yote, mibichi na yenye kukauka; utaenea tangu kusini mpaka kaskazini wala hakuna atakayeweza kuzimisha ndimi zake. Nao utaunguza watu wote.