Ezekiel 21:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sasa rudisha upanga alani mwake! Nitawahukumu mahali palepale mlipoumbwa, katika nchi mlipozaliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Urudishe upanga kwenye ala yake! Katika mahali ulipoumbiwa, katika nchi ya baba zako, huko nitakuhukumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uurudishe alani mwake. Mahali pale ulipoumbwa, katika nchi uliyozaliwa; nitakuhukumu wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sasa rudisha upanga alani mwake! Nitawahukumu mahali palepale mlipoumbwa, katika nchi mlipozaliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Urudishe upanga kwenye ala yake! Katika mahali ulipoumbiwa, katika nchi ya baba zako, huko nitakuhukumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Urudishe upanga kwenye ala yake! Katika mahali ulipoumbiwa, katika nchi ya baba zako, huko nitakuhukumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uurudishe alani mwake. Mahali pale ulipoumbwa, katika nchi uliyozaliwa; nitakuhukumu wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sasa rudisha upanga alani mwake! Nitawahukumu mahali palepale mlipoumbwa, katika nchi mlipozaliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini urudishe huo upanga alani mwake! Mahali, ulipoumbwa katika nchi, ulikozaliwa, nitakukatia shauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uurudishe alani mwake. Mahali pale ulipoumbwa, katika nchi uliyozaliwa; nitakuhukumu wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe, mufalme wa Waisraeli, wewe ni mupotovu kabisa. Siku yako imefika, siku ya azabu yako ya mwisho.