Ezekiel 21:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtakuwa kuni motoni, damu yenu itamwagika katika nchi. Mtu hatawakumbuka tena. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakuwa kuni za kuwashia moto, damu yenu itamwagwa katika nchi yenu, wala hamtakumbukwa tena; kwa maana Mimi Mwenyezi Mungu nimesema.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakuwa kuni za kutiwa motoni; damu yako itakuwa katikati ya nchi; hutakumbukwa tena; maana mimi, Bwana, nimenena neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtakuwa kuni motoni, damu yenu itamwagika katika nchi. Mtu hatawakumbuka tena. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakuwa kuni za kuwashia moto, damu yenu itamwagwa katika nchi yenu, wala hamtakumbukwa tena; kwa maana Mimi BWANA nimesema.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakuwa kuni za kuwashia moto, damu yenu itamwagwa katika nchi yenu, wala hamtakumbukwa tena; kwa maana Mimi bwana nimesema.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakuwa kuni za kutiwa motoni; damu yako itamwagika katikati ya nchi; hutakumbukwa tena; maana mimi, BWANA, nimenena neno hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtakuwa kuni motoni, damu yenu itamwagika katika nchi. Mtu hatawakumbuka tena. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakuwa chakula cha moto, damu yako itamwagwa katika nchi yako katikati, hutakumbukwa tena, kwani mimi Bwana nimeyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakuwa kuni za kutiwa motoni; damu yako itakuwa katikati ya nchi; hutakumbukwa tena; maana mimi, BWANA, nimenena neno hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uharibifu! Uharibifu! Hakuna chochote katika muji huu nitakachoacha. Lakini mbele ya hayo kutafika kwanza yule ambaye nimemupa mamlaka ya kuuazibu, ambaye mimi nitamupa muji ule.