Ezekiel 21:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote watajua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndiye niliyeuchomoa upanga alani mwake na wala hautarudishwa tena ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo watu wote watajua ya kuwa Mimi Mwenyezi Mungu nimeutoa upanga wangu kwenye ala yake, nao hautarudi humo tena.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na watu wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, Bwana, nimeufuta upanga wangu alani mwake; hautarudi tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote watajua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndiye niliyeuchomoa upanga alani mwake na wala hautarudishwa tena ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo watu wote watajua ya kuwa Mimi BWANA nimeutoa upanga wangu kwenye ala yake, nao hautarudi humo tena.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo watu wote watajua ya kuwa Mimi bwana nimeutoa upanga wangu kwenye ala yake, nao hautarudi humo tena.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na watu wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeufuta upanga wangu alani mwake; hautarudi tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote watajua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndiye niliyeuchomoa upanga alani mwake na wala hautarudishwa tena ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote wenye miili watakapojua, ya kuwa mimi ni Bwana, ya kuwa nimeuchomoa upanga wangu alani mwake, usirudi humo tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na watu wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeufuta upanga wangu alani mwake; hautarudi tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nami nikasema: Ee Bwana wetu Yawe! Watu wanalalamika juu yangu na kusema: Huyu akisema, ni mafumbo tu!